Athari Za Kufanya Ngono Kwa Njia ya Mabanda Ya Uani
Athari Za Kufanya Ngono Kwa Njia ya Mabanda Ya Uani
Kwanza tambua kuwa bikira ya mtu, msichana au mvulana hupotea mara tu anapofanya ngono kwa mara ya kwanza
1)Njia ya haja kubwa imeumbwa kwa ajili ya haja kubwa, ngoziyake ni ngumu na njia yake ni ndogo haina ulainisho na kwa hiyo huchubuka kwa urahisi inapolazimishwa kufanya kazi isiyo yake.
2)Kuna uwezekano mkubwa wa kupata maambukizi ya VVU na magonjwa mengine ukifanya mapenzi kwa haja kubwa.
3)Staili hii ya kufanya ngono inaweza kumpelekea mtu kupata maumivu makali wakati wa kutembea au wa haja.
4)Kulegeza misuli inayoshikilia njia ya haja kubwa. Hivyo si ajabu mhusika kushindwa kuzuia haja kubwa.
5)Inaweza kumletea mwanaume matatizo katika njia ya haja ndogo wakati wa kukojoa.

Comments
Post a Comment